Trying to find sense in this post[HASHTAG]#HapaAjaxTu[/HASHTAG]. ..lazima mcheze Europa hakuna namna sasa ..mourinho msimu ujao hatupo naye UEFA, na hata akiingia hatafanya la maana. Mapema sana kwenye makundi atapitishwa hivi. Timu mbovu haina ushindani, timu imekuwa ya option sasa iv [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnalazimisha kwenda uefa wakati wachezaji hawaja andaliwa kushiriki. Hahaha mtapotea tuu. Ngoja Ajax atamwonesha mou namna timu inavotakiwa icheze hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]Duh kuna uhusiano wa karibu kati ya Wafaransa na Wa-Congo aiseeeee mwana kapita kama Nyosh El Saadat.
Zlatan ibrahimovic is ready for the final Ueropa league.
Tutarajie makubwa fainali.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hapa nakubaliana na Mou kwa kiasi kikubwa,Lukaku ni mzito sana wa mwili na kufanya maamuziPamoja na Lukaku kuwa mfungaji bora wa ligi lakini Mourhnio angependelea kumsajili Griezmann badala ya Lukaku
View attachment 510689