Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani man tia maji tia maji sn,
Hii aina ya uchezaji ya kuzuia sijuuuui!!!
 
Mhuuu ni muda mrefu sana tangu Man U iniweke tumbo joto kama leo. Manake kila wakati inanijia taswira ya goli walilokosa celta dakika ya mwisho. Hii timu bado haijatengamaa vema!
 
Tatizo la man u msimu huu ni kushindwa kukill off the game na mou naona kashindwa kabisa kurekebisha hili timu haina njaa ya mabao kabisa inacheza kwa kuridhika inabidi wabadilike aiseee hata kama wana goli inapaswa wacheze kama ndo wanataka kusawazisha
 
hahaha
hapo tunasubiri Smalling na Jonea ndio wacheze fainali
mweeer!
ila bora tumepita hiyo tu ni vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…