...watani,
sitakuwepo hewani jioni ya leo,...
may I be the 1st to Congratulate you Guys!...
...kwakuanzia na Man United 1stLady -BelindaJacob,...
Manda, Eqlypz, Belo, mfarisayo, RR, papizo, mahesabu et al...!
Well done and Goodluck buddies...
hii itakuwa mechi yake ya mwishokipa mawenge sio mchezo
hii itakuwa mechi yake ya mwisho
Goal zuri sana aiseee.....
Kipa hakuwa na sababu kabisa ya kwenda kucheza rafu mpira ulikuwa mzuri watu wanatolea jasho point moja ya ubingwa yeye kaenda kugawa goli.
toka lini goli la penati likawa zuri mkuu lool.