Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anayekwazika usimjibu...hili jukwaa kila mtu yuko huru kutoa maoni yake. Cha maana usitukane.

Kama mimi hapo ulipojifumba macho ukajitekenya kuwa mtashinda Europa nimekusitiri tu lakini ni haki yako kujipa raha na kuota ndoto za alinacha.
Mkuu inawezekana sana hizi timu za europa ni za kawaida sana
 
Anayekwazika usimjibu...hili jukwaa kila mtu yuko huru kutoa maoni yake. Cha maana usitukane.

Kama mimi hapo ulipojifumba macho ukajitekenya kuwa mtashinda Europa nimekusitiri tu lakini ni haki yako kujipa raha na kuota ndoto za alinacha.

Wewe kila siku unatuombea mabaya ila hayatokei,ujishtukii tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…