Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Celta Vigo XI vs. Man Utd: Sergio; Hugo Mallo, Cabral, Roncaglia, Jonny; Wass, Radoja, Tucu Hernández; Aspas, Guidetti, Sisto.
 
I will be very frastrureted,kama hatutashinda leo,tena ushindi ambao upo comfortable..
 
Nimeangalia dakika hizi za mwanzo tu, nafikiri hii game haitakuwa na magoli mengi. Huwezi kumfunga Celta kwa kubutua mpira mbele tu, inatakiwa game plan. Hii ni moja ya timu zinazosumbua La Liga wanaweza wakabadilisha mchezo any time
 
Ila Rashford ni mchezaji mzuri. Anahitaji kuaminiwa tu zaidi.
 
Wakuu samahan mbona nikifungua app ya modbro kucheki game online inaniandikia no result found ila kipind cha nyuma nilikuwa naangalia game vizur matatzo haya yameeanza toka game ilopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…