Wakuu Wangu...naomba tujiandae kisaikolojia kwa lolote.....top four huenda hatutaiona na celta Vigo huenda watatutoa!!tujiandae kuangukia pua wakuu!!majeruhi wanatuweka ktk nafasi finyu na vijana waliopewa nafasi wameshindwa kuzitendea haki nafasi walizopewa