Mi najiuliza rooney atakua anajiskiaje kwa hii droo ya leo!! Hata kama ni bahati mbaya bado ukweli utabaki yeye ndiye kasababisha freekick!!
Daah na baada ya goli akatolewa hapo hapo !
Ila yule mpiga freekick wao yuko njema kwa kweli!! De gea ametulia akijua mpira unaenda nje ghafla anashangaa watu wanashangilia!!