Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Yeah wakati mwingine ni ngekewa ninahisi ingelikuwa hivyo na ManCity pengine tungeondoka na pointi tatuMechi ya Burnley pale OT tulimiliki mpira kwa 70% ila tuliambulia droo.
Iko wazi hawezi kujidhalilisha hivyo. Wale ni kuuza gazeti na pili kuchokoza chokoza ili ukweli ujulikane. De Gea is highest paid goal keeper in the world sijui Real Madrid watauweza mshahara wake au wanadhani kodi ndogo ya Spain ikilinganishwa na UK inatosha kusawazisha tofauti za mshahara?Vyombo vya habari vya Spain vinasambaza uongo kuwa De Gea kaomba kuondoka.
David De Gea has not asked to leave Manchester United. [James Ducker] [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Madrid hawashindwi kitu. Hata mara mbili ya sasa watampa.Iko wazi hawezi kujidhalilisha hivyo. Wale ni kuuza gazeti na pili kuchokoza chokoza ili ukweli ujulikane. De Gea is highest paid goal keeper in the world sijui Real Madrid watauweza mshahara wake au wanadhani kodi ndogo ya Spain ikilinganishwa na UK inatosha kusawazisha tofauti za mshahara?
Daah...Rashford is injured....
Burudani sana huyu jamaaMaurino anavituko sana
Anasema kwa sasa anajifua na yeye labda uenda akakipiga pale kati... Nadhan hii ni baada ya kuona majeruhi wanaongezeka kila kukicha
Siyo mbaya kwa kuanzia, ila tukiangalia position kwenye ligi, inatufundisha madhaifu yetu ya kutobadilisha droo kuwa ushindi, tulitakiwa at least tushindane na Tottenham, maana ndio timu zilizofungwa mechi chache. Naamini msimu ujao tutakuja tofautiHistoria ya Manutd kutofungwa kwenye EPL kwa mfululizo rekodi ni mechi 29 na Mourhnio tayari kafikisha mechi 24 kabakiza mechi 5 tu na ikumbukwe huu ni musimu wake wa kwanza.
View attachment 502453
Kama sio kadi nyekundu basi penati. Drogba mpaka alirusha kofiTorres yule alikuwa moto.. Nemanja nilikuwa namuelewa akimkaba Drogba!
Hope they never comebackGood bye Sunderland, enjoy the championship hope you never come back again.
hawa washenzi hapa walikua wanashangilia man city alivotupokonya kombe 2012 kama vile wameshinda champions league.Hope they never comeback
Wakajipange maana wamesuasia sana kwa misimu kama mitatu, ubahili na kutofanya usajili wa mipango imewaumiza, bye bye st Maryshawa washenzi hapa walikua wanashangilia man city alivotupokonya kombe 2012 kama vile wameshinda champions league.
But good news ni kwamba our own player ndio kawashusha daraja.
Mata alifanyiwa surgery lakini kapona mapema na kuonesha spirit ya kurudi uwanjani kuliko jones na smaling,Juan Mata is back
Kwanini mkuu? Hapo ni pa kuchukua 6pts every season!Good bye Sunderland, enjoy the championship hope you never come back again.
St Mary's ni uwanja wa Southampton nick name ya team ni Saints. Sunderland uwanja ni Stadium of Light nick name ya team Black Cats.Wakajipange maana wamesuasia sana kwa misimu kama mitatu, ubahili na kutofanya usajili wa mipango imewaumiza, bye bye st Marys