hivi vyombo vya habari vya ulaya vinapaswa vituonelee huruma wapenzi wa manchester united, ni kweli timu ina mapungufu ila uvumi mwengine umezidi,
yaani belotti ana thamani ya pound million 84 haliyakuwa hana maajabu yoyote ya kimpira na sijaona tofauti yoyote kati yake na vardy.
ni bora arudishwe chicharito kuliko belotti.
ila ni mtazamo wangu tu nisije nikaambulia lugha yenye kuudhi