Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Hii raba nimeipenda pleaseeeee can you do something..[emoji85] .!!!Red is the best
Hii raba nimeipenda pleaseeeee can you do something..[emoji85] .!!!
Hahahaha sikuwezi!!! Naiombaaa!!![emoji1] [emoji1] [emoji115]
Is Griezmann that good?!!
Hahaha nitakupaHahahaha sikuwezi!!! Naiombaaa!!!
Wakuu mnaongeleaje kuhusu huyu dogo Bernardo silva..
View attachment 500980
Tatizo la EPL ni kujirundika kulinda goli na hizo chenga mwishowe majeruhi
manchester united inahitaji winga mwenye mbio na skils sana na aliyekomaa dogo anaweza lakini je ugumu wa EPL atauweza kwa muda mchache??