Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mtetea ameshatagishwa mayai mawili...
Vizuri sana.
Mtetea ameshatagishwa mayai mawili...
Leo Blind kakaba balaa, pale nyuma leo kafunika nafikiri.ilikua ni vita kuhakikisha hakuna mpira unaofika kwa De Gea.![]()
tukishinda mechi mbili zijazo tunkuwa top 4 kudadekii
Mimi nikiwa kwa tv siwezi kutulia kabisa nisubiri mpira uishe, nawashwaje?? Yani nikiona goli raha yangu nipost....hahaaaaaBest angu acha mzee nilitulia nikisubiri tu game liishe.....
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeniMtetea ameshatagishwa mayai mawili...
...Ben ten
