Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tactics: Mourinho leo kamkabidhi Ashley Barnes kwa Fellaini. Jamaa ndio huwa anamtengenezea Gray magoli leo hafurukuti kwa Fellaini.
 
Martial anapiga kazi yake kimyakimya...
Martial baada ya kupokonywa jezi namba na kupewa Ibra kidogo akaanza kuyumba na Matatizo ya kifamilia akazidi kuwa down + plus banch na kauli za Mou akajiona Mnyonge lakini now amekubaliana na hali na nafasi imepatikana hana cha kupoteza sasa.

A prove kipaji chake,tuna game ngumu mno zinazofata na pressure ipo juu.
 
Zimebaki game ngapi na Ni za nan na nani.....???
 
Back
Top Bottom