Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natamani Mou aanze sasa kumuamini Rooney ili asaidiane na Rashford katika ushambuliaji baada ya kupungukiwa mshambuliaji mmoja na kiungo mshambuliaji Matta.

Pogba pia sasa aanze kubadilika na kuangalia mzigo alioubeba,ni aibu mchezaji aliyesajiliwa kwa record sign kushindwa ku perform, ameshindwa hata kuingia katika timu ya Epl ya Mwaka,kwa maoni yangu nasema Pogba ameperform Low this season,ni mchechaji wa saba kwa perfromance nadhani ndani ya Club.

Ameshindwa kuonyesha thamani yake halisi,na nadhani anapata nafasi kutokana na Mkataba wake kuwa na hicho kipengele.
 
Rashford tupe raha leo
Rashford akicheza kama mshambuliaji wa kutegemewa/mshambuliaji wa kati (no.9) nadhani huwa anacheza vizuri kuliko akiwa mshambuliaji msaidizi (no. 10) au 11.

Leo anaweza asituangushe kutokana na kuona umuhimu na nafasi aliyoipata.
 
Hivi ilikuwa mwaka gani? Mshirika wake up this is 2017. Hatujafungwa tena epl since sio Chelshi sio timu yoyote, i think ushapata picha tunaelekea wapi.
Haaaaaaa kweli manure mnaasahau msimu huu chelsea kakukaza mara ngapi. First leg umekazwa 4G. FA 5th umetunguliwa kamoja.
 
Ni wakati wa A.Martial sasa.mimi naona rooney amekua mzito sana analaumu tu marefa akiingia uwanjani.
 
Hivi Leo ni saa nane na nusu et ee?
Game ya barnley na man ni saa ngp wakuu?sina uhakika na muda huu
 
David De Gea aliweka jumba lake sokoni na kukoleza uvumi tayari ana makubaliano na Real Madrid kuhamia huko ukiisha huu musimu
 
Rashford akicheza kama mshambuliaji wa kutegemewa/mshambuliaji wa kati (no.9) nadhani huwa anacheza vizuri kuliko akiwa mshambuliaji msaidizi (no. 10) au 11.

Leo anaweza asituangushe kutokana na kuona umuhimu na nafasi aliyoipata.
Hata mimi naona hivyo anakuwa karibu ya goli na wakimwangusha chini basi ni peneti na kadi juu mtu lazima alambishwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…