Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Dakika ya 6
Freekick ya Burnley inatoka nje
Freekick ya Burnley inatoka nje
Rotation ya wachezaji kaka afu target ni kuwa ndani ya top 4 na kushinda Europa cup.Mourhnio ni kiboko. Sikutegemea Rashford atatokea benchi!
Tukichukua euro cup au kuwa ndani ya top 4 basi Griezman wetu ila binafsi nadhani tumrudishe Chicharito au James RodriguezAntoine Griezmann aitafakari Manutd
UmetumwaMan anakufa leo