Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ahahah kuongoza ligi? Hauwezi kuongoza ligi uku hauna wachezaji wa kufunga magoli. Angalia jinsi wachezaji wa Spurs wanavyofunga magoli. Lazima kuwe na uwiano mzuri wa magoli kwa washambuliaji wetu. Zlatan kafanya makubwa na sio wakubeza.Niambie gemu ambazo hakucheza zlatan tulipoteza point ngapi, mi naona gemu ambazo hakuepo ndo tulichukua point 3 kirahisi, ishu sio kafunga magoli mangapi, ishu ni katengenezewa nafasi ngapi za wazi kapoteza, kama asingekuepo naamini tungekua tunaongoza ligi
Sio kweli kwamba lazima kuwe na uwiano, jukumu la kufunga magoli ni la mshambuliaji wa mwisho zlatan hao wengine ni wakumsaidia tu ikitokea chance, lakini jukumu kubwa ni lake na walio nyuma yake wanatimiza wajibu wao vizuri kwa kumtengenezea nafasi, lakini anashindwa...Ahahah kuongoza ligi? Hauwezi kuongoza ligi uku hauna wachezaji wa kufunga magoli. Angalia jinsi wachezaji wa Spurs wanavyofunga magoli. Lazima kuwe na uwiano mzuri wa magoli kwa washambuliaji wetu. Zlatan kafanya makubwa na sio wakubeza.
Sio kweli kwamba lazima kuwe na uwiano, jukumu la kufunga magoli ni la mshambuliaji wa mwisho zlatan hao wengine ni wakumsaidia tu ikitokea chance, lakini jukumu kubwa ni lake na walio nyuma yake wanatimiza wajibu wao vizuri kwa kumtengenezea nafasi, lakini anashindwa...
Nipe uwiano wa magoli wakati tuna van pasie na waliomzunguka. Usikariri kwa kuwaangalia spurs, yale yatokea mara chache kwenye timu kutokana na mfumo wa timu
Alifanya revenge ambayo blues hawataisahau. Saa hizi wanatoana jasho na Totten so far 2-2.Hahahahaha Herrera alilipiza ile red aliyopewa alitekeleza wajibu wake haswaaa!!
Wacha wauane tu ila apite Spurs tu.Alifanya revenge ambayo blues hawataisahau. Saa hizi wanatoana jasho na Totten so far 2-2.
Kweli kabisa mkuu, kijana akijituma na kutulia anapopata nafasi anaweza kuwa asset kubwa sana kwetu. Pia ni nafasi kwa Wazza kutupnyesha kama kuna kilichobaki au tumruhusu aende China/MarekaniKuumia kwa Ibra ni nafasi ya Rashford kuonyesha vipaji vyake ndani ya no. 9
The enemy of my enemy is my friend. Hata mm napenda Spurs apite, Kwa leo tu lakn. HahahahaWacha wauane tu ila apite Spurs tu.
Hazard keshaharibu shughuliThe enemy of my enemy is my friend. Hata mm napenda Spurs apite, Kwa leo tu lakn. Hahahaha
Hawakujifunza kitu kwenye match ya man utd, poor spurs, guess this is it.Hazard keshaharibu shughulingoja tuone kama watafanya kitu spurs.
Woiiiiii!! La nne wakwendreeeee zaooooo!!! Mxieuwwwwwwwwwwwwwwwww !!!Hawakujifunza kitu kwenye match ya man utd, poor spurs, guess this is it.
Hahahhaha mimi hata youtube naitafuta now now inisuze moyo!!.... wameniudhiii kweli hawa spurs!, na sisi tuje tuwafunge tu hivi virent boyz wacha viwe vishindi hamna namna, maana mechi hii ilikuwa yao full squad,wametawala game,vimakosa vyao vimewakost wameshindwa kunilipia kisasi sasa adhabu yao EPL tuwatandike nyingi nyingi wakome!!Hopeless kweli hawa, bora tukarudie highlight yetu kipenzi ya man utd vs chelsea kuliko kuwaangalia wao. Haha
Suuza moyo wako, wanasema raha jipe mwenyeweHahahhaha mimi hata youtube naitafuta now now inisuze moyo!!.... wameniudhiii kweli hawa spurs!, na sisi tuje tuwafunge tu hivi virent boyz wacha viwe vishindi hamna namna, maana mechi hii ilikuwa yao full squad,wametawala game,vimakosa vyao vimewakost wameshindwa kunilipia kisasi sasa adhabu yao EPL tuwatandike nyingi nyingi wakome!!hahahhahahaha ......
We unaipenda man utd kimoyo kimoyo huwez maliza siku bila kupita huku..Asanthe kwa hilo.Apa najua mliomba mabaya ...ila mwisho wa ubayaa ni aibuuu Chelsea 4 Tottenham 2
Karibu tunaangalia highlights za mechi zetu, tuko kwenye goli la HerreraHahahahahauyu ndo ANTONIO CONTE.
Maishaaaa ilo litimu nalichukiaa kuliko kitu chochote kweny sayari hii.We unaipenda man utd kimoyo kimoyo huwez maliza siku bila kupita huku..Asanthe kwa hilo.
Najua umeumia sana ila huna namnaKaribu tunaangalia highlights za mechi zetu, tuko kwenye goli la Herrera