Hongereni mashabiki kwa futuhi nzuri ya jana, mzee wa kukurupuka Ibra aliboa sana jana.....anyway kila mtu na siku yake,all in all am happy tuko nusu fainali,naiona kesho yangu ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimenyanyua kwapa na likombe la Europa lileeeeeeeeeeeeee!!!!