Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama Lingard, Pogba, Rashford na Mhiki wangelikuwa makini hii mechi ilipaswa iwe iko kibindoni siku nyingi
 
Blind hakuna anaxhofanya najuta Rojo5 kuumia ...umekuwa uchochoro upande wa blind
 
Anderlecht hawatengenezi nafasi nyingi lakini wanajua namna ya kujipanga golini kwa Manutd
 
Ni makosa ya Blind baada ya Rojo Kuumia ingawaje hata Rojo alikuwa ni makosa mengi tu
 
Kushinda hii mechi Manutd watakiwa kufunga goli mbili kipindi hiki goli moja halitoshi kwani wakisawazisha na uwezo wanao itamaanisha goli la ugenini litawaondoa Manutd kwenye haya mashindano
 
Wakati shuti ya kwanza ikipigwa Blind angelipiga hatua mbele mpira ulipogonga mwamba na kurudi ungelimkuta mfungaji yuko offside
 
Taabu ya wachezaji wetu wakipata goli moja tu wanaona wameshamaliza kazi. Sijui wanahitaji nini kuwapa shauku ili wawe aggressive muda wote.
 
Back
Top Bottom