Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,226 Reaction score 68,242 Apr 16, 2017 #63,341 Ander Herrera injini ya timu.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,342 Young kakosa bao la wazi kabisa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,343 Yaani kapiga juu mno siamini hili
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,344 Halftime Manutd 1-0 Chelsea
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,345 Chelsea wana wakati mgumu sana kwenye hii mechi
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Apr 16, 2017 #63,346 Viva Man United
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,774 Reaction score 129,533 Apr 16, 2017 #63,347 Watu huwa wanamshangaa Mou akilaumu wachezaji hadharani ila sababu wengine hawafanyi anachoagiza. Angalia kipindi cha kwanza timu imefuata tactics zake vizuri Chelsea hawaonani. Bado 45mins Chelsea ni timu nzuri lolote linaweza kutokea.
Watu huwa wanamshangaa Mou akilaumu wachezaji hadharani ila sababu wengine hawafanyi anachoagiza. Angalia kipindi cha kwanza timu imefuata tactics zake vizuri Chelsea hawaonani. Bado 45mins Chelsea ni timu nzuri lolote linaweza kutokea.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,348 Wamezoea kutangulia kufunga halafu kulinda goli
Ferrenga JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 942 Reaction score 1,659 Apr 16, 2017 #63,349 hawa maboya leo lazima wafe..
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Apr 16, 2017 #63,350 Upepo wa Pesa said: Leo naona ni man to man...herera na harard!! Click to expand... Leo hamna red wanaisoma namba
Upepo wa Pesa said: Leo naona ni man to man...herera na harard!! Click to expand... Leo hamna red wanaisoma namba
Gwakukahja JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 1,119 Reaction score 740 Apr 16, 2017 #63,351 Sasa gem kama hii tukfungwa tutalalamika kweli
Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Apr 16, 2017 #63,352 Rutashubanyuma said: Konte kanuna Click to expand...
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Apr 16, 2017 #63,353 Rutashubanyuma said: Wamezoea kutangulia kufunga halafu kulinda goli Click to expand... leo wakisema washambulie tunawaongeza conte kidomodomo sana na mashabiki wa Chelsea wanasumbua bora ubingwa uende spurs
Rutashubanyuma said: Wamezoea kutangulia kufunga halafu kulinda goli Click to expand... leo wakisema washambulie tunawaongeza conte kidomodomo sana na mashabiki wa Chelsea wanasumbua bora ubingwa uende spurs
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,354 Chelsea wanajua hii mechi hawashindi kwa hiyo wanasaka droo
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Apr 16, 2017 #63,355 Tanayzer said: Leo hamna red wanaisoma namba Click to expand... Acha tuwafumue hawa watu!!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,356 Manutd wanahitaji ushindi droo haina maana kwenye top four
Dirham JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 490 Reaction score 543 Apr 16, 2017 #63,357 Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 16, 2017 #63,358 Chelsea wakielewa Manutd wanahitaji bao moja kumaliza mechi wataendelea kucheza total football
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,383 Apr 16, 2017 #63,359 Dirham said: Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro Click to expand... huna mchezo kabsa mubashara
Dirham said: Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro Click to expand... huna mchezo kabsa mubashara
MKANDAHARI JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 5,729 Reaction score 6,634 Apr 16, 2017 #63,360 Dirham said: Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro Click to expand... No channel gani mkuu nami niingie?
Dirham said: Game ya pressure kama hii naangalizia kwenye simu, mubashara na Mobdro Click to expand... No channel gani mkuu nami niingie?