Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
tumetunza maneno yako mkuu,so usijali.Sunderland anashinda,au anatoa droo leo,man u mjiandae tena
Musimu kuukosa ubingwa bado inaniumiza sana nikizingatia tumefanya makosa madogomadogo mengikabisa,tungekuwa mbali sana kama tungekuwa na mtu kama hernandez pale mbele..hawa madogo wanafika golini mpira wanampa kipa badala ya kufunga..
Ashinde kwa ubavu upi?tumetunza maneno yako mkuu,so usijali.
Doroo wakati anapigwa nne kwa mojaSunderland anashinda,au anatoa droo leo,man u mjiandae tena
Kumbuka analipwa 100k per week kuliko Hata Isco, Bonucci,lingard wa nini mou ananiboa kinyama