Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Ninaafiki kabisa. Ukiangalia mechi nyingi tulimissi sana. Kross nyingi hakuna wa kuanganisha maana strikers wengi hawapo langoni na nafasi hizo Chicharito haachi mtubring back chicharito..
kabisa,tungekuwa mbali sana kama tungekuwa na mtu kama hernandez pale mbele..hawa madogo wanafika golini mpira wanampa kipa badala ya kufunga..Ninaafiki kabisa. Ukiangalia mechi nyingi tulimissi sana. Kross nyingi hakuna wa kuanganisha maana strikers wengi hawapo langoni na nafasi hizo Chicharito haachi mtu