Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lindigard ni mchezaj mzuri sio wa kumbeza
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, wachezaji wengi tulionao hawana hadhi kucheza pale, ni wachezaji wa kucheza wigan uko
 
Lindigard ni mchezaj mzuri sio wa kumbeza
Lingard is verage player, pale Chelsea Lingard hata bench hakai,

May be uniambie atolewe kwa mkopo kiwango kipande then arudi kundini, even Rashfod atolewe kwa mkopo apate playing minutes nyingi
 
Lingard is verage player, pale Chelsea Lingard hata bench hakai,

May be uniambie atolewe kwa mkopo kiwango kipande then arudi kundini, even Rashfod atolewe kwa mkopo apate playing minutes nyingi
Huwezi kuwa na WC players timu nzima lazima uwe na squad players watakaosaidia hao WC players,SAF alikuwa na kina Johnsen,Oshea,JS Park,Brown,Evans,Butt,PNeville,Smith na walikuwa na msaada mkubwa.

Wachezaji wengi(midfielders na foward) wanacheza chini ya viwango
 
Hawa akina rashford na mhkitaryan na wachezaji wengine wanakua overated tu,ila ni sub_standard..mbele kule tunaitaji watu wasiokuwa na masihara kama man'e,sanchez,..mchezaji mzuri hapotezi nafasi kizembe kama hawa madogo wanavyofanya..Jones na smalling pia watafutiwe timu..rojo na bailly ndo aina ya mabeki tunaowahitaji.
 
Huyo alikua Sir Alex tu ndio anaweza kuwa na aina ya wachezaji Fletcher, Oshea, Js Park na akabeba kombe, hakuna kocha mwingne anayeweza fanya ivyo kwa wachezaji wa aina iyo even Mourinho,
Ndio maana sasa hivi Manchester ipo teyari kutumia pounds million 89 kwa mchezaji mmoja, unafikiri jambo hili lingetokea chini ya utawala wa Mzee Ferguson??
 
Last season Leicester wamechukua ubingwa na average players karibia timu nzima

Football inabadilika wachezaji wa sasa ni overpriced na wachezaji wazuri wako wachache,kwa status ya Manchester United sasa kununua mchezaji kwa hiyo bei ni kawaida hata angekuwa SAF kwa sasa lazima angeendana na soko lilivyo
SAF alishanunua wachezaji ghali kina Veron,Ferdinand,Nistelrooy
 
tunakuwa wepesi wa kusahau,ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha mshinda mpaka watu wakamshinikiza babu wa watu asitafu-timu imeanza kuharibikia kwa ferguson
 
tunakuwa wepesi wa kusahau,ferguson mwenyewe timu ilikuwa imisha mshinda mpaka watu wakamshinikiza babu wa watu asitafu-timu imeanza kuharibikia kwa ferguson
Wewe umetokea wapi tena?
Sir Alex kaicha timu ikiwa bingwa wa EPL, Uefa champions tulitolewa na Real Madrid robo fainali
 
Top 4 ngumu wakuu, njia pekee ya kurudi UCL ni kushinda Europa League.
nakumbuka baada ya kufungwa na chelsea kwenye Carling cup nilizungumza maneno kama yako wewe kama ni vigumu kwetu sisi kupata nafasi ya nne na tunapaswa tupiganie zaidi EUROPA na nikajaribu kutoa sababu zangu kutokana na mechi zinazotukabili kwenye ligi na EUROPA na nikajaribu kukumbushia changamoto tulizo kumbana nazo tulipokabiliana na wapinzani wetu kwenye mechi za mwanzo, nakumbuka member mmoja anaitwa Inartia yeye pekee ndiye alikubaliana na mawazo yangu ila nashukuru kadri mechi zinavyochezwa na wengine mumeanza kuona ukweli halisi wa timu yetu.

bado tuna mechi mbili pungufu ya wapinzani wetu wakuu wa kihistoria liverpool na wametupita kwa points 6 ila nikiangalia ratiba ya mechi zetu zilizobakia nabaki njia panda kuhusiana na nafasi ya nne. kama tunataka nafasi ya nne nilazima timu hizi zifuatazo tuzifunge
chelsea - nyumbani (hatujawafunga misimu 3)
tottenham - ugenini (tuliwafunga nyumbani)
man city - ugenini (walitufunga nyumbani)
arsenal - ugenini (mechi ya kwanza suluhu nyumbani)
burnley - ugenini (mechi ya kwanza tulitoka suluhu nyumbani)
sunderland - ugenini (tuna rekodi mbaya uwanja wao)
everton - nyumbani (mechi ya kwanza suluhu na tunacheza nao Jumanne)

je kwa style yetu ya kushambulia wachezaji 4 tu ndani ya box tutaweza kushinda mechi hizi zote?
hivi tokea aondoke SAF tushawahi kuifunga timu pinzani mabao 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…