Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jaman mnadhan kiungo gani mkabaji anaweza kutufaa pale kati la sivyo tutahangaika sana... Na mm naamin yule blind angerudishwa kati still angefaa zaid kulko big fella....

Sio kwa umuhimu..... huwa nawa admire hawa madogo sana Thiago maia na ruben neves
 
Kwa upande wa striker me naamini lukaku is one of the finest striker compare to greizman au kane aneza akabeat Two defender even three and score we need that kwa upande wa midfield tunahitaji sana mtu kama kroos ingawa rumors zinasema bado wana tafuta sign ya Yule mholanz Kevin strootman na pia we need defender kwa kwel sio kwa smalling huyu tuliye naye labda namba mbili anaeweza kupanda na kushambulia kama ilivyokuwa kwa Rafael turudishe mfumo wetu wa kutumia wingers
 
haha mkuu kumbuka utacheza na timu inayokuzidi zaidi ya point 15 man u kwa chelsea kwa sasa ni midtable team labda kama unajifurahisha
Kuzidiwa point sio ishu sababu kukufunga wewe haita badili matokeo isipokuwa itapunguza pengo basi
 
Kutufunga chelshit haina maana UNITED ni mbovu kwa mtazamo wako, kuongoza ligi kusikupe jeuri
 
toka kante amesajiliwa na chese amefunga goli 2 na zote amefunga man u kwenye ligi mkiwa 11na kwenye fa mkiwa 10 baada ya kuleta vurugu
vip kuhusu pogba siku mlipocheza na bournmouth wakiwa pungufu huyo pogba alionekana?
Chelsea ni timu ndogo mno uwezi jifananisha na Man United Sawa na kufananisha kitambi na mimba tu
 
ni kweli unachokisema ila kuhusu kumsajili lukaku katika utawala huu wa mourinho kwa mtazamo wangu ni vigumu kwa sababu mourinho ndiye aliyemuondoa lukaku chelsea na sifikirii kama atakubali kula matapishi yake, jaribu kufikiria kinachomkuta mata. nahisi upo uwezekano mkubwa wa kumsajili harry kane kuliko lukaku ila nafikiri atavunja rekodi ya pogba kwa sababu kwanza ni muingereza halafu kiwango chake cha ufungaji kimeongezeka na pia ana mkataba mkubwa sana pale spurs.kivyovyote lazima msimu ujao tufanye tena mabadilko.
umezungumzia suala la mlinzi wa kulia mimi bado naamini valencia ana miaka 3 zaidi ya kuwa kwenye kiwango chake labda tatizo letu lipo upande wa kushoto bado hatujapata mtu mwenye ubora kama wa evra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…