Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Me Rojo ananifurahisha sana uchezaji wake.. Ukitaka ubabe anauweza..

Young nae leo amecheza mpira mkubwa sana.. Pongezi kwake!
 
Kuna uhaba wa marefa watakaoweza kuchezesha mechi kubwa. Kila refa ni mbovu ila uyu wa leo kaendeleza bifu lake.
Kadi 4 nyekundu ndani ya miaka mitatu.
Ding dong!!!

Marefa wanawabeba halafu mnalalamika. Mngebaki nane ndo sijui mngesemaje kaeni kimya bana hamkuwa na uwezo wa kutufunga.

Tangu 2012 mmetufunga mechi tatu tu kati ya 20...go figure that out muache makelele mna bore sasa!!!!
 
Naona umechanganyikiwa,kama hauna la kuongea bora ukafunga mdomo.
 
Ding dong!!!

Marefa wanawabeba halafu mnalalamika. Mngebaki nane ndo sijui mngesemaje kaeni kimya bana hamkuwa na uwezo wa kutufunga.

Tangu 2012 mmetufunga mechi tatu tu kati ya 20...go figure that out muache makelele mna bore sasa!!!!
Kwahiyo nawe unaona Chelsea nayo ni timu kisa MUFC hajakufunga since 2012.

Timu yako ni ya kawaida sana kama St Etienne
 
Refa kàamua matokeo ....pamoja na kwamba tumefungwa na kutolewa ,vijana wamejitahidi sana aise ....tuangalie mechi ya alhamic ndiyo ya mhimu zaidi
Hii haikuwa n.a. umuhimu.? Sema bahati haikuwa yenu acha visingizio mkuu
 
Kumbe furaha yako ni rafu aliyokuwa anacheza Rojo.....Jana mlikuja kucheza rafu n.a. si kushindana
 
kwa ubovu niliouona kwa man u sitashangaa kupigwa tena ot, timu inawachezaji wa kawaida kabisa wasioweza kubadili matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…