Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatutoki.....bora tutolewe tu FA timu ipumzike
 
Tunaenda kuchukua draw yetu safi alafu tunawasubili kwetu
 
Game ya leo haina replayed kwa ratiba iliyopo inawapa wakati mgumu FA kuipangia United match za marudiano sababu ligi iko tight na viporo viwili tena waongeze cha tatu! Hivyo leo lazima apite mmoja kazi iishe
Atapita Man Utd na viporo vitaongezeka
Mechi za mtoano ni Man Utd huwa haitolewi kibwegebwege chini ya Mourinho japo tuna pengo la strikers sioni km ni tatizo maana viungo na ulinzi hakuna pengo hivyo ni mwendo wa counter attack
 
Achane kujipa presha jamani, pale kuna fundi mikki, mata show za juu zote ana cheza fellaini presha ipo wapi? kumbukeni pia mnyama pogback yupo, inshort leo ndo siku ambayo nina amani kuliko zote, leo magoli ya kipuuzi puuzi hatutokosa maana safu ya leo yote inanjaa ya magoli,,,
Ila mungu atutangulie
 
Counter attack ni muhimu sana leo mkuu...
 
Atapita Man Utd na viporo vitaongezeka
Mechi za mtoano ni Man Utd huwa haitolewi kibwegebwege chini ya Mourinho japo tuna pengo la strikers sioni km ni tatizo maana viungo na ulinzi hakuna pengo hivyo ni mwendo wa counter attack
Tukichagizwa na utetezi wa FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…