Game ya leo haina replayed kwa ratiba iliyopo inawapa wakati mgumu FA kuipangia United match za marudiano sababu ligi iko tight na viporo viwili tena waongeze cha tatu! Hivyo leo lazima apite mmoja kazi iishe
Hii game sijui mournho anaichukuliaje...nahis huenda akaamua kupunguza wingi wa game tunazocheza na hivyo basi tukapoteza kwa chelsea ila kwa goli chache kulko kula kipigo cha aibu....au akaenda kukaza na kikosi hicho hicho kinachoonekana dhaifu kutafuta matokeo...ila kiukweli kwa mtazamo wangu sioni kama tuna pa kutokea leo ijapokuwa mpira unadunda lakini sio kwenye tope