Haha,Angalizo:- jumatatu tusilaumiane hapo Trafford ya kale kwa mpira mnaoucheza.week end njema tukutane super Monday
Usiogope mkuu form ni kwa muda mfupi class inadumu nawaheshimu sana glory man uHaha,
Mr. Unatupa onyo sindio?
Mambo ya kandanda bwana timu yako ikiwa katikafomu nzuri sana na Ushindi kedekede unahisi dunia ni yako kabisa kabisa.
Dogo katokea blackburnsijawahi kumkubali smalling tokea anacheza fulham
Ofcoz upo form na pia upo uwanja wa nyumbani ila tambua manchester utd ni timu kubwa, inauzoefu wa mechi kubwa na ina kocha mwenye uzoefu wa mechi kubwaAngalizo:- jumatatu tusilaumiane hapo Trafford ya kale kwa mpira mnaoucheza.week end njema tukutane super Monday
Digo kawa mwepesi sana mkuuDogo katokea blackburn
Nikichek hii ratiba game 6 zijazo, hakuna shaka yoyote Mn United itakua ndani ya top 3 hakuna namna..
LIVERPOOL...
Liver v Swansea
Liver v Chelsea
Hull v Liver
Liver v Spurs
Leicester v Liver
Liverpool v Arsenal
Baada ya mechi 6 hizi, kuna Watu lazima watupishe2 pale juu, sina haja ya kuwataja wenyewe wanajua hilo..
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
By dullahzemm
Smalling alitoka non-league akaenda Fulham them Man Utd. Jones ndio alitoka Blackburn Rovers.Dogo katokea blackburn
TrueSmalling ndio beki pekee nisiemwamini pale O.T,
Ball control POOR
Passing POOR
Ball clearance POOR
Ile ligi bhana mi huwa naionaga ya kiduwanzi,Duuhh..!!mkuu unafatiliaga ligue 1..??
Martial is injured and Rashford is ill. Both will miss the match vs Chelsea [HASHTAG]#mulive[/HASHTAG] [bbc]
Manchester United team news vs Chelsea
David de Gea
Sergio Romero
Dean Henderson
Antonio Valencia
Matteo Darmian
Timothy Fosu-Mensah
Phil Jones
Eric Bailly
Chris Smalling
Daley Blind
Marcos Rojo
Luke Shaw
Michael Carrick
Marouane Fellaini
Ander Herrera
Paul Pogba
Jesse Lingard
Ashley Young
Henrikh Mkhitaryan
Juan Mata
Wayne Rooney will miss #mufc's game against Chelsea due to injury after colliding with Phil Jones in training. [@sistoney67]
Yan nahic kama kubanwa na mkojo aisee, mbona tupo majangano hivi,Possible lineups