Pogba needs to be rest,Leo alikua out of game kabisa,Fellaini kapiga mpira mkubwa leo hawa Warusi Wanatumia Nguvu sana katika cheza yao.
Tokeo la leo sio haba Bayern Munich alikula goli 3-2 Hapo Jamhuri/Uwanja wa majimaji ya Urusi,Tujipange game ijayo na Chelsea tunaratiba ngumu sana wiki ijao ila all in all nawaamini Vijana.
Glory Glory Man utd
tofauti kubwa kati ya Manchester na bayern ni kwamba Manchester ina toa droo na timu ndogo (liverpool,arsenal, stoke, Rostov, bournmouth et al) wakati bayern timu ndogo huwa inazitandika 5-1 home and away