Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matukio matatu katika soka ambayo sitaweza kuyasahau
99 comeback history
8-2 kwa aseno
6-1 kwa barcelona
 
according to this pic Zlatan ndo amekosa clear cut chances in EPL, nachelea kusema jamaa anaisaidia timu kwa 40% na anaicost kwa 60%
 
Wandugu mmeona uwanja wa Leo jaman nawasiwasi sana kama tutatoka huko Russia bila majeruhi uwanja wangu hapa chugga unaafadhali
 
according to this pic Zlatan ndo amekosa clear cut chances in EPL, nachelea kusema jamaa anaisaidia timu kwa 40% na anaicost kwa 60%
Nadhani utakua unapigia mstari maneno yangu, tatizo letu hatuangalii ni nafasi ngapi za wazi anakosa, tunaangalia tu madhali ndo mchezaji mwenye magoli mengi basi yeye ni bora, halafu wanakuja wanakuambia takwimu hazidanganyi
 
Hili game la Leo tutashinda mapema tu, pamoja na ubaya wa uwanja.

Namkumbuka sana Chicharito. Timu bila striker wa South America bado haijakamilika.
 
Hili game la Leo tutashinda mapema tu, pamoja na ubaya wa uwanja.

Namkumbuka sana Chicharito. Timu bila striker wa South America bado haijakamilika.
Kuna kaukweli mkuu ndio kuna vizazi vizuri vya ufungaji bora
 
Timu inacheza 3-5-2, ubovu wa uwanja umefanya Jose amewapumzisha wachezaji wenye miili midogo so leo ni long ball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…