Hilo lote ni swali moja tu, ni kwasababu timu zilikua na washamuliaji wengi na upungufu wa viungo, kwa kuwa rooney ni kiraka waliamua kumpanga yeye kama kiungo, kwa sasa viungo wapo wengi utd ila washambuliaji hakuna, sioni sababu ya kumieka benchi captain kwa kulichezesha lile zeeUkiulizwa maswali jitahidi kuyajibu,
1.Tutajie striker namba moja wa United na England tangu Ferguson amestaafu ?
2.Unafikiri kwa nini makocha wa England/United waliamua kumchezesha Rooney kama kiungo badala ya striker?
Word,, Ibra ni bora ingawa Rooney pia alikuwa bora sanaMimi Si Mshabiki Wa Man U lakini to be honest Ziwezi Kumueka Benchi Ibra nikamchezesha Rooney Hata Siku Moja!
Ubovu wa Chui si Uzima Wa Paka! Na Uzee wa Ibra si Uzima Wa Rooney
Rooney ni mzuri behind the striker Mkuu, kuna mechi kadha wa kadha kacheza kama main striker anashindwa kutimiza majukumu yake na kujikuta ameshuka 10,Utamlinganishaje wakati kwa muda mwingi rooney kachezeshwa kama kiungo? Hakua mshambuliaji wa mwisho, alitumika kama daraja la kuwalisha washambuliaji, au hamna kumbukumbu? Laiti kama angechezeshwa kama mshambuliaji wa mwisho, hiyo rikodi ya mabao 250 angekwishaiweka miaka 3 iliopita
Pia ndie mchezaji aliye poteza nafasi nyingi Sana za wazi ligi kuu England (17) anaemfuatia kapoteza 8hata stats zinaonyesha Ibra ndio striker aliyefanya vizuri tangu SAF aondoke.
Hahahaha shukran mkuu herreraPia ndie mchezaji aliye poteza nafasi nyingi Sana za wazi ligi kuu England (17) anaemfuatia kapoteza 8
Msimu huu ni wa Zlatan/Rashford/Mikitaryan/Martial.Sipingi kununuliwa striker mpya, naomba hilo liwe kipaumbele cha timu ila kwangu rooney ni bora mara 10 kuliko lile lizee
Stats dont lie.Na kiwango chake kushuka sio kwa ibra, bado naamini captain ni bora kuliko ibra
Tutatoka tu..very soonDuh sijui tuna mkosi gani na hii nafasi ya sita au Jose ana gundu na yule Dr waliotibuana naye Chelsea ?.
Bora hata shamba la bibiKama ule wa turiani morogoro
wajinga hawa Rostov ndo maana mechi za nyumban wanashinda sana halafu wakienda ugenini wanababuliwa kumbe wanatake advantage ya uwanja wao mbovu
We acha tu wana fitna sanawajinga hawa Rostov ndo maana mechi za nyumban wanashinda sana halafu wakienda ugenini wanababuliwa kumbe wanatake advantage ya uwanja wao mbovu
Ndo mnavokariri, statistics ziliwadanganya chelsea kwa torres, ziliwadanganya man untd kwa falcao na hata kwa shinji kagawa, sasa endeleeni kukaririStats dont lie.