Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Aliyemkanyaga kichwani kwa makusudi IBRA bado yuko uwanjani. Fa italimulika hili
Naangalia makosa mnayofanya na mpira m'bovu mnaocheza. Hamna namna leoNatumai inaangalia mpira
IBRA naye ile elbow ni muujiza yupo uwanjani