Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitakachotokea leo Jumamosi

Man Utd atashinda dhidi ya Bounermouth, hivyo atakuwa na Points 51.

Liverpool atamfunga Arsenal, hivyo atakuwa na points 52 na Arsenal atabaki na Points zake 50.

Hapo Man Utd atachupa hadi nafasi ya tano.

Lakini ikumbukwe Liverpool atakuwa na mechi 27 na Utd wanakuwa na Mechi 26, aidha Utd atashinda hicho kipolo na kuwa na points 54 na kushika nafasi ya Nne.

Hadi mwezi Machi unaisha, Utd atakuwa nafasi ya Nne.

Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Mei mbio za Ubingwa zitakuwa kati ya Utd, Spurs na Chelsea, japo Spurs atalegea.....

GGMU

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Tunatakiwa kushinda mchezo wa kesho kwanza bila kuangalia wenzetu watafanya nini,,, napenda kumwona Paul Dyabala akiungana na Pogba OT,, binafsi naamin n mzuri kulko Griezman,,
Aiseeeee huyo ni msumbufu tofauti na griezmn kakaa kitarget man sana
 
Makatheboy unafikiri Woodward ananguvu kubwa kama Peter Kenyon au David Gill? Huyu jamaa muda mwingine huwa naona hana nguvu ya ushawishi
Mashine ilikua David gill ikisaidiana na peter Kenyon kabla ya kununuliwa na abramovich alipoinunua Chelsea aiseee huyu Kenyon alimsaidia sana mou kusajili majembe kipindi kile ......woodwrd mpole sana bana
 
Kenyon alishatimuliwa Chelsea yupo wapi kwa sas.....kama vp tumrudishe
 
Mm nawaombea wa drow woote wawili
 
Sina hata raha leo
Kama hatufungwi basi sare....ushindi leo mmmmmh
 
Sounds like Luke Shaw is going to start vs Bournemouth today. Chance to move a few rungs up the Darmian, Rojo, Blind pecking order.
 
Sitashangaa leo mtu mzima akiekwa tatu na madogo wa bonamauthi maana hamna namna lazima mkae tuu..
 
Bournemouth imechuma points nyingi kutoka kwa timu za juu zaidi ya zile za chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…