Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Unawakosea heshima watu hawa fletcher na huyu three lungs (ji sung park )hawa binadamu walikuwa ndio nguzo ya united kipindi hicho.Enzi za Fergie kulikuwa na Rooney mwenye uwezo wa kucheza nafasi za watu watatu, alikuwepo Ronaldo katika peak yake, alikuwepo Teves,Anderson yaani hawa hata mechi tano kwa wiki wanaweza kucheza.
Sasa hivi tuna wazee(Carrick,Ibra,Rooney) ndio tegemeo...waliobaki ni watoto na very talented lakini sio wagumu kama akina Rooney,Ronaldo wa enzi zile.
Tusitoke hata mchuano mmoja. Tukaze mwanzo mwisho.Kitu kinachonitia hofu ni uchovu kwa wachezaji Kama mdau mmoja alivosema pale juu,
Hii ratiba sidhan Kama ni favourable kwetu, tuna mechi nyingi na ngumu kwa muda mfupi, bora tutolewe FA tufocus kwenye ligi na europa
Sidhan Kama Tunaweza kwenda na Europa, FA na ligi kwa pamoja na matokeo yakawa upande wetu
Tusitoke hata mchuano mmoja. Tukaze mwanzo mwisho.
Makombe yote ni muhimu kwetu.
Imagine umechukua Europa na FA then ukaingia top 4 EPL..
Watu kama hawa muhimu, wanaleta burudani kwenye club na soka kwa ujumlaYan Baily ni muafrika typical, yan show zake za uswahilini ile mbaya sema mpira tu ndio anacheza wa mbele
Alaf kwa chini pale namuona Herera.
Hizi takwimu tulikubaliana zibaki kwetu majirani zinawanyima usingizi nadhani utazingatia hilo.ManUtd have lost just 6 games under Jose Mourinho.
Klopp's Liverpool have lost 6 games in 2017.
Kinachowacost liva ni kutokua na classic player na pesa hawana......nasikia wanadaiwa na standard charteredHizi takwimu tulikubaliana zibaki kwetu majirani zinawanyima usingizi nadhani utazingatia hilo.
tukichukua Europe tutapata nafasi ya kucheza UEFA kama sevilla kwa hivyo tuna machaguo mawili nafasi ya 4 na europeYatakua mafanikio makubwa kwa msimu huu.
Nakubaliana na wewe Mkuu, dyabala ni mzuri kuliko griz, Pia ni young tatizo linakuja ni kwamba madrid nao wanamtolea macho awe m-badala wa benz,Tunatakiwa kushinda mchezo wa kesho kwanza bila kuangalia wenzetu watafanya nini,,, napenda kumwona Paul Dyabala akiungana na Pogba OT,, binafsi naamin n mzuri kulko Griezman,,