Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni wazur sana Shake...sema wamekutana na dhahama ya litimu bora duniani., kwaio lazima waonekane crap Lol!

Na kweli mkuu maana kwa jinsi walivyo wafunga inter milan sio kawaida kabisa...na kweli wamekutana na best team......alafu nyumbani kwao sasa sijui ndio watashinda away au vipi....
 

Ukishakuwa mshabiki wa Arsenal ni vizuri ukaishi kwa fantasies kwa kiasi fulani manake the reality sucks....nimeshtuka usingizini kwa kelele,ngoja tu nijikaze niangalie..l.o.l
 
Jamaa eti wanawapumzisha ma star wao kwa ajili ya mechi na sisi. lol
Jumapili ni kipigo tu tunawapa.

Mara ya mwsho tumewachapa kina Oshea na wale mapacha ndo walikuwa viungo na mawinga...asa, j2 tukipanga ao mastaa si tutaua kabisa?...maturubai msiazimishe, msiba j2 kwenu Emirata.
 
Kwa wenzangu wenye PC...Mnamuona Wacha1 boy apa jamvn?, sion posts zake, naona anaibia tu....

hahahaha! khekheeeee! hii dozi ya Schalke weeknd tutaipunguza, so usiogope sana kijannn...tutawapa nusu dozi tu...Khekheeeeeee!

Na mimi nimemuomba aje aweke pics maana haonekani kabisa kaingia mitini...hahaha
 
Mara ya mwsho tumewachapa kina Oshea na wale mapacha ndo walikuwa viungo na mawinga...asa, j2 tukipanga ao mastaa si tutaua kabisa?...maturubai msiazimishe, msiba j2 kwenu Emirata.

Tutakutana jumapili mkuu haina haja ya maneno mengi.
 
Hii utadhani tuko Carrington tunafanya mazoezi... heck ata mazoezini kuna competition...!!!
 
Vipi mama? umenisusia mitunguli ppeke yangu? lol mbona umegeuka ghafla unashangilia dawa zetu kuisha nguvu? lol

sishangilii mkuu...tuko pamoja....dawa zimeisha nguvu vibaya,within a minute wana goli mbili....kazi ipo!
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi sana nataka mfike fainali itakuwa poa pale Wembley chacha chijui mtakwaana na nani? khe khe kheeeeeeeeee



Arsene said:
No chance for Schalke against United
 
Mpira na dakika 90 tumekaa sisi na mpira raha sana.....
 
Wacha1 umeona mambo hayo... another clean sheet in European away fixture.. Waungwana ahsanteni kwa kujumuika pamoja kwenye another routine victory.. Bring on sunday.
 
Aya....asanten Wanga wetu wte, tunguli zenu zimekuwa very insipring..am looking forwrd mje nazo Emirata j2...
Kuna mwenye swali?

Alamsiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…