Wapinzani roho zao zinawauma wakisikiA unaandika kitu cha namna hiiwakuu...tuko vizuri sana!!tofauti yetu na mtu wa nafasi ya pili ni pointi 2 tu huwezi kuamini!!!halafu naona mwisho wa siku tunaweza kumaliza msimu na makombe matatu au mawili
Ni point nne saivi mkuu kutoka mtu wa nafasi ya pili man citywakuu...tuko vizuri sana!!tofauti yetu na mtu wa nafasi ya pili ni pointi 2 tu huwezi kuamini!!!halafu naona mwisho wa siku tunaweza kumaliza msimu na makombe matatu au mawili
Tushindwe wenyew kuingia topfour
Kuna mechi vs man city itachomekwa katikati ya hio ratiba. Ilikuwa tucheze mwisho wa mwezi huu lakini EFL final imeingilia.
Tushindwe wenyew kuingia topfour
Sasa hizo game kubwa si ndio hao tunagombea nao nafasi. To be the best u gotta beat the best.Mkuu bado sana liverpool na chelsea wamekata angalau big game vizur washachukua point nne sisi hizo game mchekea hazina maana sana mana hapo bado kuna wabishi tulitakiwa tupige game kubwa mbili kwanza halafu wanakuja hao bila ya hivyo bado sina imani
Ni saa ngapi jmnMartial Leo ninamtabiria makubwa hataki benchi tena
Sasa hizo game kubwa si ndio hao tunagombea nao nafasi. To be the best u gotta beat the best.
kwa kweli tushindwe wenyewe.
Tushindwe wenyew kuingia topfour
Timu ilivyo sasa sio sawa na mzunguko wa kwanza.Mzunguko wa kwanza tumeshinda game moja tu hapo ndipo nakosa amani tunaweza kuchota maji kwenye net
Timu ilivyo sasa sio sawa na mzunguko wa kwanza.
tumeenda kuwapa pole.Ndo maana naipenda Man U na washabiki wake!!!!!!
1. Timu ni ya kistaarabu na imejijengea heshima kubwa sana duniani, hakuna purukushani kama wale wengne(wanajijua)
2. Mashabiki wanajitambua na kujiheshimu sana....hivi ingekuwa ndo Man U amepigwa hizo 5-1 si pangekuwa hapatoshi leo hapa jamvini?
2. Lakini ona jamvin palivyo tulivu na nauhakika hata mashabiki wa Man U hawajaenda kuleta za kishilawadu kwenye thread yao! Nimejaribu kupitia kwenye thread yao lakin hakuna mashambulizi kama yale ambayo wao huleta hapa jamvini tukifungwa
GLORY GLORY MAN UNITED!!!!
Wakuu habari za asubuhi
Kule nyumba ya jirani kuna msiba mkubwa, kama ilivyo tamaduni zetu za kiafrika ni kupeana pole na kushirikiana, naomba muende kuwapa pole na kusaidia shughuli ya mazishi
Misa ya kuaga mwili itaanza saa 7 noon