Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vjana wameupiga mwingi sana ila shida bado ipo mbele,, magoli mengi sana tunakosa,,,
 
Asiyeona mabadilko ya timu ni mchawi pia anaemlaumu mourinho kwa kumuweka bench martial anakosea kila mmoja apiganie namba hakuna star pale atabadilika siku zote star ni kocha wakina giggs hawakuwa na namba za kudumu
 
Hii timu inavutia sana kwa sasa jamani zlatan kakosa goli nyingi sana zaid ya 4 clear ander herrera anaendelea kuwa roho ya timu katikati kapora mipira kwa akili sana de gea bailly valecia pale mbele wale MMM ni sumu.



GGMU.
 
Matokeo ya leo
Yatakuwa hivi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
ManU 2:0 watford.
Weweeeeee nomaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Kunywa pepsi bariiiidi kwa Mangi naja kulipa.... wanandugu wenzangu naomba nisisherekeee kwasasa yaani nimefunga naomba saa nne nitakuja kushangilia,please please nisaidieni wote kuomba!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…