Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

baada ya matokeo ya jana, spurs walioko nafasi ya pili watakuwa wakitupita kwa pointi tatu tu......................hivyo champions ligi mwakani iko ndani ya uwezo wetu
 
It's an amazing chance for man utd as they can become 6th if they win tomorrow
1f600.png
1f600.png
 
Mourinho when asked if Martial did enough to win his place??? He said that he only did enough to stay on the bench and Still lingard and Rashford are still better.... This Ridiculous and Deluded words
Dogo anajua ila ana ujeuri fulani hivi.. Ila Mou asifikirie kumuuza hio itakua bonge la mistake, kwa sababu mpaka sasa hatuna best left winger kama yeye.
 
Attachments

  • FB_IMG_1485927692468.jpg
    FB_IMG_1485927692468.jpg
    23.2 KB · Views: 43
Madhara ya kusubiria mwenzio afungwe ndo upande!???

kwani anaengoza si kaingoza kwa uzembe wa wenzie unafikir yeye aliamua ntakuwa wa kwanza bro vipi mpira ni mchezo wa makosa
lazima timu ipoteze ndo upite wasingekuwa wanapoteza anapatikanje bingwa?????

au bila zile suluhu kama 7 unafikir man u angekuwa wa 6?
 
Aliamua....Alidhamiria..akaonesha uwezo!!!!

Kufika kwake namba 1 hakukuwategemea wengine.

Endelea kubangaiza hapo namba 6, kesho tena nitakuja kuwasalamia humu barabara ya 6...wacha nilale kwa sasa, alamsik!
 
kweli wewe ni mshabiki na mnazi mwanzo ligi alikuwa anaongoza nani? utaongozaje bila kuombea mmoja apoteze?
jana mashabiki wenyewe wa chelsea wanaomba spurs na arsenal +liver wapotee ili chelsea ajiwekee mazingira mazur kwa nini? chelsea wanakwambia angemfunga liver na arsenal yeye bingwa kwa nini?
 
Aliamua....Alidhamiria..akaonesha uwezo!!!!

Kufika kwake namba 1 hakukuwategemea wengine.

Endelea kubangaiza hapo namba 6, kesho tena nitakuja kuwasalamia humu barabara ya 6...wacha nilale kwa sasa, alamsik!

pia chelsea huwa hanaga tabu ni timu ya msimu anaposhinda makombe ya lig miaka ya karibuni ujue hapo hana mashindano magumu anakashindano ka moja akiingia champions lig lazima amalize nje ya top 5
 
Haya sasa wenzetu wameharibu cha ajabu na sisi tutaharibu pia. Daaah
 
ARSENAL stress can make you look for a seat belt in the toilet. This kind of stress can make you go to a funeral of someone you don't even know just to cry so hard without anyone judging you. If you are not careful It can make you dial your lover's number on the microwave. Tag an Arsenal fan!!!

Manchester United manager Jose Mourinho hurting at Champions League exclusion and urges stars to finish in top four
  • Manchester United face St Etienne in the Europa League this month
  • The Red Devils have spent much of last two decades in the Champions League
  • Jose Mourinho has urged his players to finish in the top four this season
  • Anthony Martial, meanwhile, will start on bench against Hull on Wednesday
  • Frenchman impressed for United in Sunday's FA Cup victory over Wigan

3CA217A000000578-4177576-image-m-5_1485902101724.jpg

Jose Mourinho has urged his Manchester United players to step up their pursuit of the top four
 
Back
Top Bottom