Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hili swali naona kuna wajuaji wamelirukia eti next ronaldo. Jamani jezi namba 7 man utd ni icon.
Wachache waliovaa ni kama Cantona, Beckham, Ronaldo....ukipewa jezi hii lazima uwe 'icon' siku ukiitundika na sio uwe kama Ronaldo.
Valencia alipewa akairudisha, Memphis alipewa kachemsha sio kitu rahisi kuienzi jezi namba 7 ya man utd.....nasisitiza jezi namba 7 sio kuwa next CR7 hata yeye aliikuta na iconic image yake.
tatizo liverpool imesajili wachezaji wengi waliochemsha hawajulikani na huwa hawapei tension na media walishajifia kitambo toka 1992
wakina carrol kama torres
banteke kama suarez
kuna yule wa italy kila mech mgonjwa kama gerard
moreno kama caragha
danny ings
ibe
possible mourihno lineup
Badala ya Pogba weka Mata.
Otherwise naona draw au mkifungwa!
Pogba huwezi muweka nje game yoyote, especially physical kama hii ya StokeHauwezi kumuweka Pogba nje ata siku moja ni utamtesa Herrera na Carrick kwenye kukaba.
Hauwezi kumuweka Pogba nje ata siku moja ni utamtesa Herrera na Carrick kwenye kukaba.
Ukabaji gani anaofanya Pogba bro!
Braza kumbe ujanielewa nimepost hiyo screenshot kwasababu gani, ebu chek tena vizuri labda siku nyingine wewe ndio ujaribu kuelewa vitu vizuri kabla ya kumjibu mtu.Bebe namba 9
Macheda namba 9
Young namba 11
Anderson namba 10
Morison namba 10
Mda mwingine mkiwa mnaleta vitu ni bora mkashirikisha na akili zenu kuliko kuonyesha upumbavu wenu.
Hapo kwa fellani ni tatizo akianza, anza na wakina Carrick piga stoke mapema baadae ndio unamleta huyo fella ila jamaa akianza kushinda ni tatizo.sidhani kama carrick ataanza bali nionavyo fellaini muhimu kuthibiti dead balls ambazo stoke city hutegemea mno kutengeneza magoli yao...................
Interview nzuri kabisaKUELEKEA GAME NA STOKE CITY:
Hakuna Majeruhi.,Ni Matatizo Madogo Madogo Tu Ya Kawaida. Hakuna Injury Yeyote Kubwa.,Khali Ni Nzuri.
Mou Hajari Sana Kuhusu Unbeaten Run.,Ni Mwenendo Mzuri Ila Hachezi Ili Kulinda Unbeaten Run,Anachopambania Ni Kushinda Mechi Husika.
Kuhusu Kuongezea Wachezaji Baada Ya Kuuza Mou Anasema Baadhi Ya Nafasi Zina Watu Wa Kutosha.,Nafasi Nyingine Hawapo Wa Kutosha Lakini Khali Ya Majeruhi Haitishi Pia Hivyo Anaamini Anaweza Kwenda Na Waliopo Mpaka Mwisho Wa Msimu. Anasema Dirisha Zuri Kwa Usajiri Ni Lile Kubwa.,Hili Dogo Usajiri Sana Sana Huwa Ni Kwa Dharura Tu.
Kuhusu Ashley Young Kutakiwa China Kasema Hajui Lolote.,Kazisikia Kwenye Media Pia,Na Young Hajamwambia Lolote Kuhusu Hilo.
Kuhusu Memphis Kutong'ara Msimu Huu Anasema Ni Ngumu Kujua Sababu.,Maana Sio Inshu Ya Msimu Huu Tu.
Alikuwa Na Tabia Nzuri,Aliheshimu Kila Mtu Na Alikuwa Akijituma Kwa Bidii Mazoezini Ili Kupata Nafasi Nyingi Za Kucheza.,Na Kukosa Nafasi Hizo Kulimchanganya Sana.
Hana Kibaya Cha Kusema Juu Yake.,Alikuwa Akicheza Nafasi Ambayo Ina Ushindani Mkubwa Maana Wingers Wapo Wengi Na Kupata Nafasi Ni Ngumu.
Wapo Watu Kama 7 Wanaotakiwa Kucheza Nafasi 2 Za Wingers.,Na Ni Ngumu Zaidi Kupata Nafasi Ikizingatiwa Ni Position Ambayo Haina Shida Sana,Za Majeruhi Nk.
Alikuwa Akikipiga Fresh Ligi Ya Kwao.,Japo Sio Ya Ushindani Sana. LvG Alifanya Poa Kumnunua.,Maana Alikiona Kipaji Chake Na Alimjua Vizuri Tangu Wakiwa Timu Ya Taifa.
Hakufanya Vizuri Alipokuwa Man United Ila Ni Muhimu Kwa Club Kuweka Buy Back Option Kwenye Mkataba Wake.,Yeye Na Uongozi Mzima Wanamtakia Kila La Kheri,Labda Kuna Siku Atarudi Maana Anapendwa Na Kila Mtu.
[HASHTAG]#mufc4life[/HASHTAG]
Last weekend ilitakiwa tumle.. Ile penat ilikuwa gunduNaona Jogoo kaliwa na Bata maji