Referee hawajaona hio offside tena wako pale pale old Trafford.. wewe huku uko mpakani mwa chato na biharamulo eti umeionaBao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.
Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".
Hahahahhaha wewe utakuwa mdogo wake baba Jesca siyo kwa majibu hayoooo.!!!.....Referee hawajaona hio offside tena wako pale pale old Trafford.. wewe huku uko mpakani mwa chato na biharamulo eti umeiona
Hahah.. jamaa anazinguaHahahahhaha wewe utakuwa mdogo wake baba Jesca siyo kwa majibu hayoooo.!!!.....
Yaani ni kelele kitaani eti tumebebwa kama ni rahisi hivyo kubebwa wabebwe basi na wao!!!....... yaani mimi kinachonifurahisha ni kuchomoa tu kwa mechi zote tulizokutana nazo haijalishi tumechezaje, ......ila to be honest presha ilikuwa juu mpka nikatoka kwenye TV uzalendo ukanishinda,looooh Ibra bana weeeeeeeee sisemiiiii nilivyofurahi!!!!Hahah.. jamaa anazingua
Ok Valencia was offside. Kapiga cross imekuja upande wa pili Fella kapiga kichwa imegonga post imemrudia tena Valencia kapiga cross Ibra kafunga where were Liverpool players?!Jamaa yupo sahihi kabisa, ila ni mwamuzi msaidizi ndiye alisaidia man kusawazisha,
Hilo liko wazi kwa mwanamichezo yoyote alieangalia mpira
Acha kabisa wengi tulikondaYaani ni kelele kitaani eti tumebebwa kama ni rahisi hivyo kubebwa wabebwe basi na wao!!!....... yaani mimi kinachonifurahisha ni kuchomoa tu kwa mechi zote tulizokutana nazo haijalishi tumechezaje, ......ila to be the honest presha ilikuwa juu mpka nikatoka kwenye TV uzalendo ukanishinda,looooh Ibra bana weeeeeeeee sisemiiiii nilivyofurahi!!!!
Ni kweli kabisa but kiupande wangu sijafurahi sana coz we deserved more than this, kama sio utoto wa Pogba. But nilikua nimekaa na jamaa mmoja wa chelsea akanambia man utd yenu ile iliyoondoka na babu fergie inarudi.Yaani ni kelele kitaani eti tumebebwa kama ni rahisi hivyo kubebwa wabebwe basi na wao!!!....... yaani mimi kinachonifurahisha ni kuchomoa tu kwa mechi zote tulizokutana nazo haijalishi tumechezaje, ......ila to be the honest presha ilikuwa juu mpka nikatoka kwenye TV uzalendo ukanishinda,looooh Ibra bana weeeeeeeee sisemiiiii nilivyofurahi!!!!
Uko sahihi, tunazungumzia uhalisiaOk Valencia was offside. Kapiga cross imekuja upande wa pili Fella kapiga kichwa imegonga post imemrudia tena Valencia kapiga cross Ibra kafunga where were Liverpool players?!
Kama umeweza kuona hio offside nafikiri unaweza ku recall shot ya Rooney ambayo Mignolet aliokoa kuwa kona lakini refa akaamua Rooney alikuwa offside wakati clearly alikuwa ON.
Sasa na mimi nakwambia ile ilitakiwa tupewe kona ambayo tungepiga tungefunga, who knows lakini football haiko hivyo.
All in all Liverpool showed why they were second for a while and Man Uniteds proved anything is possible.
Hata mimi nazungumzia uhalisia au ile offside ya Rooney ilikuwa playstation football?Uko sahihi, tunazungumzia uhalisia
Yaani kila siku tunavyocheza we deserved to get mo and mo ila bado tu kuna vijambo tukivirekebisha tutafika pazuri tu kujenga ni kazi kuliko kubomoa...... ila best sema tu ukweli kwa hii season hali yetu ilivyokuwa? Halafu ile Liver tuliyokuwa tunatishiwa kwamba sijui ni gegen press(ohh wanaijua wenyewe!!) nikasema haki ya mama tukikutana nayo tutakuwa tunakula 4G kama si 5G!!,unakumbuka sijui ni kombe gani lile walituchapa nne sikupumua siku hiyo,nikajisemea mie everlenk season hii nitauweka wapi uso wangu!!....doooh nikasahau waswahili husema heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wa neno!!!....... tukaze tu buti its not too late to make it,pamoja na changamoto zote tumepitia hata sasa tunasimama tutafika tu tunapotaka..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.Ni kweli kabisa but kiupande wangu sijafurahi sana coz we deserved more than this, kama sio utoto wa Pogba. But nilikua nimekaa na jamaa mmoja wa chelsea akanambia man utd yenu ile iliyoondoka na babu fergie inarudi.
AmeeeeenYaani kila siku tunavyocheza we deserved to get mo and mo ila bado tu kuna vijambo tukivirekebisha tutafika pazuri tu kujenga ni kazi kuliko kubomoa...... ila best sema tu ukweli kwa hii season hali yetu ilivyokuwa? Halafu ile Liver tuliyokuwa tunatishiwa kwamba sijui ni gegen press(ohh wanaijua wenyewe!!) nikasema haki ya mama tukikutana nayo tutakuwa tunakula 4G kama si 5G!!,unakumbuka sijui ni kombe gani lile walituchapa nne sikupumua siku hiyo,nikajisemea mie everlenk season hii nitauweka wapi uso wangu!!....doooh nikasahau waswahili husema heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wa neno!!!....... tukaze tu buti its not too late to make it,pamoja na changamoto zote tumepitia hata sasa tunasimama tutafika tu tunapotaka..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
Kwa nini musikamiwe wakati mumewekeza mamilioni ya pesa thamani ya timu yenu na midomo yenu washabiki wa man u ndio inayowafanya wapinzani wajiandae vilivyo.Coutinho atawacost sana Liverfool, wamempiga sindano kisa game ya man Utd. Ndiyo shida za wapinzani wanakamia sana game za man Utd. Huyo coutinho mpk apone 100% siyo leo wala kesho.
'Mumewekeza', 'Mumekuja', 'Mushkuru', 'Musikamiwe'..Kwa nini musikamiwe wakati mumewekeza mamilioni ya pesa thamani ya timu yenu na midomo yenu washabiki wa man u ndio inayowafanya wapinzani wajiandae vilivyo.
Lakini sio mbaya mechi ya kwanza kwetu mulikuja kutafuta sare na leo kwenu mumekuja na stayl ilele ya kutafuta sare.
Mumshukuru refa leo kabetlakini ilitakiwa Paulo apokee kadi nyekundu njano ya kwanza kushika mpira makusi ktk eneo la penalt njano ya pili kabari ya mburahati.
Na mungebaki 10 tungewapa 5.
😱 Darasa la Saba D huyo😀😀'Mumewekeza', 'Mumekuja', 'Mushkuru', 'Musikamiwe'..
Buda relax, and GGMU!.