Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Uwe unasema na maamuzi ambayo yali-go against United...Bao lile la Ibrahamovic ingawaje ni zuri lilitakiwa kufutwa kwa sababu Valencia aliyetoa pasi ya kwanza kwenda kwa Rooney alikuwa off-side. Mwamuzi na msaidizi wake wamefumbia macho.
Hata hivyo mna bahati ya kupata sare leo. Mou na Guardiala watapigiana simu leo kufarijiana. Ligi la EP sio "kupiga sound".
Kubali kwanza kwamba mwamuzi alifanya kosa leo kuachia lile bao lihisabiwe. Au ni kwa sababu imekufanya kufurahia mechi suluhu?Uwe unasema na maamuzi ambayo yali-go againt United...
kweli kabisa kuliko fedheha ya kufungwa bora dorooooohii dorooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo siyo mbaya kheri nusu shari kuliko shari kamili
Kudos kwa Loserfools kwa shut down United's midfield; they did like what United did to theirs in the 1st game.
Leo Carrick na Pogba walibanwa. Ingawa I'm United is still unbeaten, 16 games in all competitions now.
[HASHTAG]#tutafikatu[/HASHTAG]
Upo sahihi kabisawapendwa mashabiki wenzangu wa man utd naomba niwaambie hii timu imeiva!!bahati mbaya imechelewa kuiva uzembe tuliofanya mwanzoni mwa msimu ndio una tu cost!!!yaani vijana wanatafuta goli kwa moyo toka game linaanza mpaka refa anapuliza kipenga cha mwisho!!
Offside?Kubali kwanza kwamba mwamuzi alifanya kosa leo kuachia lile bao lihisabiwe. Au ni kwa sababu imekufanya kufurahia mechi suluhu?