kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,776
- 12,183
He he he heee,uspecial one mbele ya klop?unaotaPogba amepanick dah sijui nani atatuokoa leo.
Everton katutengenezea lami tunataka tuweke miba aarrghh Mou fanya u special one hapo.
He he he heee,uspecial one mbele ya klop?unaotaPogba amepanick dah sijui nani atatuokoa leo.
Everton katutengenezea lami tunataka tuweke miba aarrghh Mou fanya u special one hapo.
Wacha wapigwe kama Mancs, ndio mchezo huo ukizubaa unachapwa kipigo cha uhakika. Muulize Peps kajasho kanamtoka. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAcha kishangilia msiba wa jirani[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tumewazoea hao watotoHuyu dogo atawapa watu ban humu.
Dah huyu Pogba si amtoe leo hayuko sawa kabisawanga kina wacha 1 washakuja kututembelea
wanga kina wacha 1 washakuja kututembelea
mipango tu mjomba..kuna wakati unauza kilo 2 za sukari ununue pakti ya chumviMartial mbona alicheza tu vizuri