mkaanga sumuMtakimbia humu baada ya muda mchache,hapo hapo trafford mnalizwa
naona gadiola ananyooshwa kama nguo inapigwa pasiMan city anakufaa cha 4
Hawa sijui pipi kifua sijui toffee wamewapiga city kama hawawajui vilecity wanasomeshwa namba na everton
Jirani kafa 4-0. Wamefungwa hadi na kinda Lookman.
Sasa tushinde, ili tuue ndege wawili kwa jiwe moja.
Patamu sana.Ushindi wa leo ni muhimu sana. Next weekend Man City yuko na Totenham
tuko wote kwenye hiliMie leo nashangilia MANU the reason behind is obvious.
tukishinda zaidi ya tatu bila tunawapita city................itakuwa siku nono sana
Kwa hiyo wewe una akili kuliko José na benchi lake la ufundi wanaowaona Mikhi na Mata kila siku mazoezini?Wakati mwingine huwa tunajiloga wenyewe. Ni kichekesho kumuweka Mata nje kwa ajili ya Mkhitaryan. Haiingii akilini.