Huyu mchezaji huwa anakuwa kama anaupungufu wa akili maana anatabia za ajabuajabu sana inabidi watafute mshambuliaji mwingine atawacost kama balotelli kwa man cityMshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]
Hivi vyuma vyote vina historia iliyotukuka kwa club yetu wapiganaji wa ukweli na captains wa mfano wa kuigwa
Tumewakata mkiaLeo kuna mtu pale kileleni atapunguziwa point.[emoji3]
Tumeshawazika tayari Leicester cityAcha wazikane.
I hope you are smart enough to know that being 6th and two points behind second place is better than being 5/4/3rd and seven points behind.
In other news, Leicester city 0 - 3 Chelsea FcMshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. [HASHTAG]#DaudaTransferUpdates[/HASHTAG]
I hope you are smart enough to know that being 6th and two points behind second place is better than being 5/4/3rd and seven points behind.
...and smarter enough to know that it doesn't matter! 6th position qualifies you to nothing but next season EPL. I would rather be 4th position and 10 points off the first person than you.
However kwa game ya kesho nawaombea mshinde (kama mtakuwa na uwezo huo) la sivyo DRAW.
Kwavilw umezoea kufungwa na Liver,unadhani na sisi ni kama nyie? Sikumbuki mara ya mwisho ni lini Liver iliifunga United kwenye Epl.