Ayo maneno itakuwa yane editiwa. Sio alivosema ivoo
Good analysis hawalioni hili wanaangalia position tu wanga wetu.Licha ya kuwa bado tupo nafasi ya 6 lakini tumepunguza pengo la point na timu zilizo mbele yetu
Chelsea-Bado pengo limebaki point 13 ,Chelsea wameshinda mechi zote 5
Liverpool-Tumepunguza pengo kutoka pointi 9 hadi pointi 7
Tottenham-Tumepunguza toka point 6 hadi pointi 3
Man City-Tumepunguza toka point 9 hadi pointi 3
Arsenal-Tumepongeza kutoka pointi 10 hadi pointi 1 (Arsenal wanacheza now wakishinda pengo litabaki pointi 4)
Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 12
Good analysis hawalioni hili wanaangalia position tu wanga wetu.
Ayo maneno itakuwa yane editiwa. Sio alivosema ivoo
Yani Spurs ampunguze chelsea nyie mnaota??
Thanx for ruining my day to play Fellain
Yuko Novara baada ya kutoka Nottingham forest kwa mkopoNimemkumkua Kijana Wangu wa Kiitaliano KIKO MACHEDA wapi yupo huyu mtu?