Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pika chakula cha familia tu siku hizi hatuna wageni humu ilaaa unaweza kuongeza kipimo kidogo pana waungwana huja humu tunajadili kiuanamichezo so kidogo ongeza .
hahaha siku hizi hadi raha, mwe si nilipitiwa na usingizi nimeshtuka now nikaona nije niperuzi.

hongereni kwa ushindi sana, hatimae nasi tunaweza kutembea kifua mbele.
 
Lile goal alilokosa lilihitaji nguvu?
Vipi Valencia nae alivyokosa. Valencia alivyokosa rebound ndio ilimjia Lindgard ghafla ndio maana ali react tu kuusukuma mpira golini.

Huyu dogo hata mimi si mshabiki wake ila kuna mechi akichezeshwa naelewa. Huyu hana kipaji kuliko Martial ila yuko more energetic.

Mechi kama hii haihitaji sana kipaji,inahitaji energy ukifuatilia stats za man utd huyu dogo ndio huwa anaongoza kwa sprints per game anasaidia energy level ya timu kwa jumla.
 

Uko sahihi mkuu,dogo anajituma sana ndio maana Mourinho anampenda.
 
Sijawai kuwaelewa Lingard na Fellain na sielewi kwann Mou anawang'ang'ania every week, leo baada ya Lingard kutoka timu ikaanza kutengeneza nafasi za mabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…