Mwamuzi tayari amewasaidia kwa kumtoa kwa kadi nyekundu kijana wa WH.
Kwa kweli amenikera sana huyu mwamuzi kwa kuiharibu hii mechi.
Hii ilikuwa ndio mechi ya Man. disUnited kujipima kama ina ubavu wa kutoa upinzani kwenye msimu huu wa EP.
Tumecheza vizuri so far, ila jamaa wamekaba sana so inahitajika creativity kidogo ili tuipenye ngome yao.. toa lingard ingiza mata/martial then toa darmian ingiza beki inayoshambulia zaidi.. GGMU