Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Mweeh!..hamkosi nuksi🙂) naomba usinzie hapo hapo na tushinde, ha ha
Mngekuwa mnaongoza ningesinzia lakini kwa jinsi inavyokwenda hapa ndio kwanza naongeza dawa lol.
Naona park ,evans na valencia wana warm up.park yule anaweza kukutoeni kwenye mechi kama hiii mgumu sana.park ukimpiga buti ndio kwanza anaongeza spidi lol.
Man U fans don't have to worry. No matter what happens today, I'm sure Arsenal will find another new, unique way to drop points tomorrow. It's what they do best
80th minute tumuingize owen badala ya giggs
ebanae zari mkuu...Hahaha mkuu umejuaje lakini huyu jamaa yaani hakuwa hata kwenye mawazo kama anaweza kuchezeshwa....
ebanae zari mkuu...
AW, pls nijulishe matokeo ya watani wangu.....!:nerd:
Refaaaa, that was a clear foul...duh