Hivi huyu Mkhitaryan mourinho alikuwa anamweka benchi kisa nini ?
Huyu kocha nae ana kiburi cha nyamongo kabisa
Kweli..dah..unsung hero..Captain Carrick naye umesahau kuwa ni wa nyumbani
Domourinho magumashiBlind anakaaje benchi kwa Darmian, tunahitaji krosi toka upande wa Kushoto.
huwa sioni mchamgo wa Pogba kwa kweli. anapoza mpira mpaka keroPogba anashida anapoteza sana pasi zake na mpira ananyang'anywa kiurahisi sana.
Pogba yupi unayemuongelea?huwa sioni mchamgo wa Pogba kwa kweli. anapoza mpira mpaka kero