Tumeshinda ila naona kama vijana hawako seriaz tunapoteza pasi mnoo
Nimejaribu kumfwatila herrera kipindi cha pili huwa anapotea sana mchezoni.
Ni Faraja beki Katili Baily karudi
Uliuona awanja ulivokua mkuu? Ilibidi kucheza kwa tahadhari sana kuepuka majeruhi, na hii kitu wachezaji waliambiwa toka mchana, hali ya pitch ilikua sio rafiki