Marefa wanatuumiza sana siku hizi,
Mou anatakiwa abadirishe mtindo wake wa kusakamana sana na Marefa. Naona kinyongo chao wanakimalizia kwa Timu,
Ona kama hii faulo ya Pogba, Faulo kachezewa yeye na Kadi kapata yeye..!! Mou kalalamika kidogo tu, naye kala nyekundu..!!!
Anatakiwa kubadirika na kutafa namna nyingine ya kufikisha malalamiko yake kwao.