Tupo mkuuHii mechi mbona kaa watu wamezira hivi!!
View attachment 439093
Hakuna cha Belo, inzi, @PRONDO @Eqlpzzzzzzzzzz et all wote wameunyuti
hawana uhakika na Red Cross Tam .... .... ..
Khe khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
jamaaa wamefanikiwa kuingia na flares ...
Hapana bado moja amfikie bobNadhani rooney tayari kawa mfugaji bora wa muda wote au?
Acha wanga mkuu,
Wakiongea mnalialia, wakitulia mnalalamika haya endelea kutwanga maji mpaka mwisho niko nawewe hapa.
GGMU GGMU GGMU
Poa manHapana bado moja amfikie bob
Na bado mawili ampite kwa jumla
Lakini kwa UEFA ndio kaweka rekod ya club ana ongoza

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umejitokeza baada ya goli .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee usitoroke chacha ... .... ..
Chacha kumbe mpira unachezwa tukae kimya basi tukuchubiri wewe kila baada ya 19 minutes, hatari kubwa BTW you aren't one of those Manure fans whom we know, wewe umesingiziwa tu khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, kazi kubwa!ex
Hii siyo nyumba ya kupanga mjomba,
Nikimbie hapa nende wapi? angalia tu utakimbia wewe kama ulivokuja..!! Unasema nimekuja baada ya gori? Angalia post zangu hapo juu
Hii siyo nyumba ya Kupanga mkuu